Sisi
wamatumbi blog ya kijamii, Tunadumisha mila na desturi zetu hapa. Unaweza kuwa miongoni mwa watu muhimu wanaodumisha utamaduni wa
wamatumbi kwa kuchangia mada mbalimbali zenye kujenga hapa. Kuwa mzalendo kwa kuenzi kabila lako. Tuungane kuhifadhi na kutangaza utamaduni wetu hapa.
wamatumbi hoyeee